Sugu- Nipo Mikononi Mwa Polisi __TOP__
Wakati fulani nikiwa kijana mdogo niliwahi jaribu kujiingiza katika makundi ya ulevi. Niliamini nikinywa pombe nitakuwa na nguvu kama za yule jamaa aliyechorwa kwenye picha ya konyagi na nitakuwa jasiri aibu itaondoka, kwa hiyo nilikuwa nakunywa pombe kwa malengo ya namna hiyo. Lakini baada ya muda kama wa mwaka mmoja kupita, nilikuja kugundua mwili wangu umeanza kupungua nguvu na kutoa harufu mbaya, hata nikioga ile harufu ilikuwa inabaki kwenye mwili na nguo zangu. Kitu kingine nilichogundua ni kupoteza uwezo wa kufikiri na umakini baada ya kuona matukio kadhaa ya kuniharibia maisha yakiniandama. Kuna wakati fulani nilijikuta nipo mikononi mwa polisi wa doria kwa kosa la uzurulaji.
Sugu- nipo mikononi mwa polisi
041b061a72